Jiandae kisaikolojia;

JIANDAE kisaikolojia; watu wengi watakuwa tayari KUKUSAIDIA ili mradi kama utaendelea kuwa MDOGO.

____Usisahau kuwa, ukianza kuonesha DALILI za kuwa MKUBWA kama wao…

…baadhi yao WATAKUGEUZA kuwa ADUI bila sababu.

Au watatengeneza mbinu za KUKUFELISHA kwa MAKUSUDI.

Kuna wengi ambao hawako tayari kuona ULIANZA nyuma yao…

…na sasa unataka kuwa JUU YAO, wanatamani kila siku uwe CHINI yao.

Ukigundua VITA ya namna hii, ujue ni jambo la KAWAIDA.

Wengi ambao WAMEPANDA juu wamewahi kukutana nayo, wewe sio wa kwanza.

Unachotakiwa kufanya ni KUENDELEA KUWAHESHIMU…

…ila USIENDELEE KUWATEGEMEA.

Kama kuna ndoto/malengo unatamani kuyafikia lakini unakutana na vikwazo vingi nashauri usome kitabu changu cha…

…Strategy, Jinsi Ya Kupata Matokeo Makubwa Ndani Ya Mwaka Mmoja.


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment