Vitu 5 Muhimu Ambavyo Vinatokea Katika Muda Wa Maandalizi:

____i. Anatumia Huu Muda Kukujenga Kitabia

(Character):

Uwezo wa kuchukuliana na watu, kusamehe, uaminifu wako wa kifedha,

unauchukuliaje mwanzo mdogo n.k.

Kuna tabia utahitaji uziondoe, utaona unaanza kukosa amani hata kama zamani ulizoea.

ii. Anakuruhusu kupitia baadhi ya “Experiences” ambazo baadaye zitakusaidia sana.

Kuna watu ambao hauwapendi ila wanaletwa kwenye maisha yako kukusaidia kujiandaa.

Kuna mambo ambayo yatakuletea maumivu ila Mungu anajua yatakuwa na faida hapo baadae.

Unapozipitia unaweza usielewe kabisa kwa nini Mungu ameziruhusu, ila Mungu anajua kwa nini unazipitia.

iii. Atakupa mzigo wa kujiandaa sana kiroho:

Mungu atajenga ndani yako kiu kali sana ya

kujifunza neno lake, kufunga wewe mwenyewe, maombi ya muda mrefu kuhusu hatima yako n.k.

Luka 4:13 – Yesu aliongozwa na Roho wa Mungu kwenda Jangwani katika kipindi hiki cha maandalizi.

Kama kuna maono uko nayo lakini hujui uanzie wapi kuyatimiza nashauri usome eBook yangu ya Kuyaishi Maono Yako.


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment