
1- Kuwa na watu sahihi wanaokuzunguka
2- Kubali kosa ukifanya na badilika
3- wapongeze wengine wakifanya vizuri.
4- Jijali/ Jipende.
5- Shukuru kwa yale uliyonayo
6- Jione wewe ni mshindi kila siku
7- Kila siku fanya kitu kuhusu malengo au ndoto yako
8- Soma vitabu au makala zenye kukupa nguvu na shauku ya kuwa bora zaidi
9- Saidia wengine au shiriki shughuli za kijamii
10- Usiache ibada kila siku.
Cantona School of Thoughts
Tembea Youtube Subscribe Youtube channel yangu
CantonaCast Television https://youtu.be/kFruH4ysPE4
Website: cantonadigital.wordpress.com
Email:cantona.online254@gmail.com
#MahusianoNaNdoa #IpoSiku #marriagemathematics #FamiliaNaMalezi #MaendeleoNaMafanikio
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.