Kuna mambo 10 hapa unaweza fanya kuhakikisha unakuwa na mawazo chanya siku zote:.

1- Kuwa na watu sahihi wanaokuzunguka

2- Kubali kosa ukifanya na badilika

3- wapongeze wengine wakifanya vizuri.

4- Jijali/ Jipende.5- Shukuru kwa yale uliyonayo

6- Jione wewe ni mshindi kila siku

7- Kila siku fanya kitu kuhusu malengo au ndoto yako

8- Soma vitabu au makala zenye kukupa nguvu na shauku ya kuwa bora zaidi

9- Saidia wengine au shiriki shughuli za kijamii

10- Usiache ibada kila siku.

Cantona School of Thoughts

Tembea Youtube Subscribe Youtube channel yangu CantonaCast Television https://youtu.be/kFruH4ysPE4

Website: cantonadigital.wordpress.com

Email:cantona.online254@gmail.com

#MahusianoNaNdoa

#IpoSiku

#marriagemathematics

#FamiliaNaMalezi

#MaendeleoNaMafanikio

#CantonaJoseph


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment