
Sio kwamba wenzako hawapitii magumu kama wewe. Yamkini wao wanapitia magumu zaidi yako. Tofauti yenu ipo kwenye namna mnavyo yatazama magumu yale. Wewe yakija machungu unatema unatupa, unaendelea kulia. Wenzako yakija machungu wanachanganya na tamu wanatengeneza jwisi wanakunywa huku wakicheka. Badili mtazamo. Mindset change
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.