Mume wako au Mke wako ni fumbo.

Hakuna ajuaye utakutana na nani ambaye atakuwa mume au mke wako, Mungu peke yake anajua. Sasa jifunze kuwa sensitive rohoni. Ukiona unakosa amani sana ndani yako kuwa makini kuchunguza zaidi au kujiepusha. Ukiona una amani kubwa ndani yako itumie.

Mungu pia husema nasi kwa sauti ya amani ndani yetu. Wapo wengine walidharau kutumia sauti ya amani ndani yao na leo wanausoma ujumbe huu wakiwa na machozi na majuto makubwa. Usiwe mmoja wao


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment