Basi vumilia tu hilo.

Tunapambana sana! Kwenye kila kitu;Kuna kitu unafanya Umefika sehemu kama uacheee vile…Kama kinazingua ivi…Lakini kwa mbali kama unaona muda bado….

Kama unahisi umechokaa vile…Unatamani upige kelele kila mtu ajue…Yaani Yaaani kama yondoke hapo..Ila kuna sauti ndani ina kwambia vumiliaa kidogo…

kuna mtu flan kama umropokeee ivi,Kama umpandishie, kama umechokaKunakasauti kama sema subiri!

Basi vumilia tu hilo…Kuvumilia kwenye lolote kunalipaaaaa!Endelea kuskiliza ka sauti ka ndaniiii Endelea Kuvumilia…


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment