Lipo tumaini,utachipuka tena.

Ayubu 14:7 “Kwani yako MATUMAINI ya mti, ya kuwa UKIKATWA utachipuka TENA, Wala machipukizi yake HAYATAKOMA”Inawezekana kuna mambo fulani kwenye maisha yako yanaonekana kama HAKUNA MATUMAINI TENA.Kuna watu walifanya mambo wakitaka wakukatilie mbali na usiinuke tena.Mungu anakukumbusha leo kuwa, kama ambavyo mti uliokatwa na kudhaniwa umekufa unavyoweza kuchipua tena, ndivyo na wewe UTACHIPUA TENA.Waliodhani UMEFIKA MWISHO, watashangazwa na jinsi MUNGU ATAKAVYOKUCHIPUZA TENA.Nakuona UKICHIPUA TENA!Katika Jina la Yesu itakuwa hivyo, Ameeen!


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment