MUNGU HABADILIKI Vs. MUNGU ANABADILIKA
Tulia kwanza-nisome bila ‘mapupa-pupa’ wala ‘mamiharaka-haraka’, kisha fundisha iliyo kweli ya kiroho,Neno, maandiko.
Ukisoma Biblia, yako matukio ya kutosha kabisa yakionyesha:
KWELI YA KWANZA: Mungu Baba akijisema au akisemwa na wengine kuwa habadiliki, anatunza ahadi, neno lake mfano-aliyowahaidia Sara na Ibrahim, alivyomtetea Paul ktk wito wake mgumu na mengine mengi yanayoonyesha uaminifu wake……ongezea mifano yako
KWELI YA PILI: Tunaona wazi kabisa Mungu anaghairi kuadhibu Ninawi, anafuta kifo cha mfalme Hezekia, anaghairi-juta kumuumba mtu, anaghairi kuwaingiza wana Israel na kuhakikisha wale wote waliomnung’ukia,wanakufa kabisa jangwani……..ongezea mifano yako
SWALI: Je, Mungu anabadilika au habadiliki?, tufundishe watu kipi ambacho haswa ndicho sahihi Kimaandiko?
Mbarikiwe,enyi nyote, Amen
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.