Mungu atatenda Kwa wakati wake.Subira na uaminifu vinahitajika

Mtu asiyeokoka (mpagani) atabaki kuwa mwana wa Mungu lakini utofauti wake ni kwamba Mungu hawezi kumpa majukumu yake ayatimize lakini anaweza kumtumia yeye ili amfanikishe Yakobo kwenye majukumu ya kutimiza kusudi Iako hivi Mungu anaweza mtu mtu ambaye hajaokoka kabisa lakini akakusaidia mpaka ukashangaa.

Wana wa Mungu waliokoka wote ni wahitaji lkn Mungu hutumia wale wasio okoka kutimiza majukumu yako
Unaweza ukawa unashida ya mtaji ukaenda kanisani kuomba Mungu ataufanya moyo wa mfanyabiashara fulani ukawa mwepesi na ukashangaa anakuja kukupa pesa ambayo hukutaraji
Au ukapokea pesa kimuujiza , ukaokota pesa atakae kuwa kapoteza izo pesa ni mpagani na uwenda alikua anataka kwenda kuzitumia vibaya Mungu akafanya zidondoke alafu uokote wewe ambaye ulikua unaomba Mungu akubariki mtaji.

Ukanzisha biashara na ndio hali ya maisha.Endelea kumwamini Mungu katika kipindi chote unachokipitia.


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment