Uwezo wanaume.

WANAUME KAMA WANAUME TUKIJITAMBUA NA KUSHIKA NAFASI ZETU VITU VINAENDA.

Mtu mmoja akasema Mungu aliweka uadui kati ya Mwanamke na Nyoka yaani shetaniwanel. Hivyo mwanamke anatakiwa kuomba sana.

Mwanzo 3:15 nami nitaweka uadui kati yako na huyo mwanamke, NA KATI YA UZAO WAKO NA UZAO WAKE; HUO (Uzao) UTAKUPONDA KICHWA, NA WEWE UTAMPONDA KISIGINO.

Ni sahihi kabisa uadui upo kati ya Nyoka (Shetani na Mwanamke) ila VITA ipo kati ya Uzao wa Nyoka na Uzao wa Mwanamke ambao ni MWANAUME. Tafsiri zote za Biblia zimeutaja huo uzao katika Masculine gender yaani (He/His). Mwenye kazi ya kuponda kichwa cha Nyoka ni Uzao wa Mwanamke yaani Mwanaume. NDIO MAANA NYUMBA NYINGI SHETANI ANAPAMBANA KUONDOA, KUFUKUZA AU KUUA WANAUME ILI MWANAMKE ABAKI KWENYE FRUSTRATION. Kwa sababu aliyepewa jukumu la kuponda kichwa sio Mwanamke. So shetani ili aweze kumnyanyasa Mwanamke kisawa sawa lazima apige Mwanaume wake.

Mwanamke atajikuta asilimia 90 ya Prayer point zake ni matatizo anayosababishiwa na mwanaume. Shetani anapiga kizazi chetu. NDIO MAANA ISAKA ALIPOONA SHIDA YA MKE WAKE HAIISHI AKAAMUA KUBEBA JUKUMU LA KWENDA MBELE ZA MUNGU KUOMBA.

Mwanzo 25:21 ISAKA AKAMWOMBA BWANA KWA AJILI YA MKE WAKE, MAANA ALIKUWA TASA. NAYE BWANA AKAMWITIKIA, NA REBEKA MKEWE AKACHUKUA MIMBA.

SISI TUKUSIMAMA WAKE ZETU NA WATOTO WETU WATAPUMZIKA. MWAMBIE MWANAUME TUKUTANE KWENYE MKESHA WA MAOMBI IJUMAA TAREHE 26 JUNE 2020. KEBBYS HALL, BAMAGA MWENGE. KUANZIA SAA 3 USIKU. HISTORIA MPYA ITAANDIKWA KWENYE MAISHA YETU. KWA NAMNA YEYOTE USIKOSE. (1 Timothy 2:8


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment