Urusi yashambulia miundombinu ya nishati Ukraine

Radio Fortune Africa -Ukweli na Burudani

https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa

Vocalize Pre-Player Loader

Na: Cantona Joseph|RFA

Rais wa Ukraine Volodymyr ZelenskyPicha: Nicolas Tucat/AFP/Getty Images

Taarifa hiyo ya Zelensky aliyoitowa kwa njia ya video imeongeza kwamba watu wengine kadhaa wamejeruhiwa kutokana na shambulio hilo na kutoa wito kwa ulimwengu kutofumbia macho kinachoendelea nchini mwake.

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema Urusi imefanya shambulio lingine lililolipua kituo cha nishati nchini humo na kuua watu wawili.

Taarifa hiyo ya Zelensky aliyoitowa kwa njia ya video imeongeza kwamba watu wengine kadhaa wamejeruhiwa kutokana na shambulio hilo na kutoa wito kwa ulimwengu kutofumbia macho kinachoendelea nchini mwake.

Aidha, kiongozi huyo amevitaja vikwazo vya hivi karibuni vilivyowekwa kwa makampuni ya mafuta ya Urusikama mfano wa majibu kama hayo na kwamba athari zake zinaonekana na vikwazo zaidi kwa Urusi viongezeke ili iweze kusimamisha vita vyake nchini Ukraine.

Hivi karibuni Urusi imeongeza mashambulizi ya anga nchini Ukraine yanayolenga zaidi miundombinu ya nishati.
 
All Rights Reserved © The Cantona Group PLC||2025

Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment