Mafunzo 10 Muhimu Ya Kujifunza Baada Ya Kuvunjwa Moyo.

Radio Fortune Africa -Ukweli na Burudani

https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa

Vocalize Pre-Player Loader

Na:Cantona Joseph|RFA

i. Sio Kila Jambo Litaenda Kama Tulivyopanga.

ii. Watu Wanabadilika

iii. Kuwa Tayari Kuanza Upya Kwenye Maisha

iv. Hauna Uwezo Wa Kumbadilisha Mtu Asiyetaka Kubadilika

v. Wema Wako Haumzuii Mwingine Kukufanyia Ubaya

vi. Usipuuzie Vihatarishi Ambavyo Unaviona Mapema (RedFlags)

vii. Usilazimishe Kuwa na Mtu Ambaye Unampenda Ila Yeye Hakupendi

viii. Kuna Tofauti Kubwa Kati Ya Kupendana Na Kuendana.

ix. Haujapoteza Tu, Bali Umejifunza Pia

x. Inawezekana Sio Wewe Mwenye Shida Ni Yeye.

Katika Makala Hii Tutazungumzia Jambo La Kumi

– Inawezekana Sio Wewe Mwenye Shida Ni Yeye.

Watu wengi wakipitia hali ya kuachana, huwa wanahitimisha kuwa…

…wao ndio walikuwa hawafai.

Wakati mwingine inawezekana yule uliyeachana nae ndio alikuwa hakufai wewe.

Usifanye haraka kujihukumu.

Kuna wakati ambapo Mungu anakuwa ameona mambo yanayokuja mbele.

Na anaona namna pekee ya kukufanya ubakie salama ni…

…kuhakikisha kuwa anakutenganisha na huyo mtu.

Badala ya kujilaumu na kuumia sana.

Mshukuru Mungu kwakila jambo.

All Rights Reserved © The Cantona Group PLC||2025


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment