Mungu anapotaka kuwanyamazisha milele, huwaacha kwanza wapige kelele, na kwa wingi wa maneno yao ya kuvunja moyo HUNASWA KWA HAYOHAYO. USIOGOPE IMANI YAKO INAPOPIMWA, UTATOKA KAMA DHAHABU.
Siku utakayoanza kujiona wewe ni zaidi ya wote kwenye kazi yako, huduma yako, kipawa chako na maisha yako… NDIO ITAKUWA MWANZO MDOGO WA MWISHO WAKO.
Huwezi mzuia njiwa asipite juu ya kichwa chako, lakini unaweza mzuia asijenge kiota juu ya kichwa chako.
Mawazo mabovu yaweza pita kichwani mwako lakini kamwe usiyaruhusu yakae maana yatakuchafulia maisha yako.
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.