Lolotehufanyalo utapata upinzani,na pongezi.

Kwenye kila unachokifanya kuna aina ya watu wawili hutakosa.. Hutakosa rafiki wala hutakosa adui, ni kitu cha kawaida sana wala sio kwamba unapatia sana au unakosea sana, hao utawapata tu.

JAMBO LA MAANA KULIKUMBUKA NI KUWA HUNA ADUI WA KUDUMU WALA HUNA RAFIKI WA KUDUMU HAPA DUNIANI. Hivyo kuwa makini usitengeneze moyo wako kana kwamba utadumu na hali hiyo milele. KUWA MNYENYEKEVU HASA KWA MANENO YA KINYWA CHAKO UNAPOMJIBU RAFIKI AU ADUI YAKO. Kesho rafiki aweza kuwa adui na adui aweza kuwa rafiki yako. USIJISAHAU


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment