Meli za jeshi la Israel zinazuia meli zenye misaada zinazoelekea Gaza

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph

https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa

.

Jeshi la wanamaji la Israel limekamata meli zilizokuwa zimebeba misaada kuelekea Gaza na kuwaweka kizuizini wanaharakati waliokuwa ndani, akiwemo mwanaharakati wa hali ya hewa wa Uswidi Greta Thunberg.

Wizara ya Mambo ya Nje ya Israel ilisema meli kadhaa ambazo ni sehemu ya Global Sumud Flotilla (GSF) “zimesimamishwa kwa usalama” na kwamba zinaelekezwa hadi katika bandari ya Israel.

Iliongeza kuwa jeshi la wanamaji liliambia meli hizo kubadili mkondo kwa kuwa “zinakaribia eneo la mapigano”.

GSF ilielezea uvamizi huo kama “kinyume cha sheria” na “si kitendo cha kujilinda” bali ni “kitendo cha unyanyasaji “.

All Rights Reserved © The Cantona Group PLC||2025


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment