Una marafiki wa aina ipi.

➡Anayekukimbia wakati wa kupanda,atakuja kukutia moyo wakati wa mavuno.
➡Anayekudharau wakati wa vita,ndiye atakayekushangilia wakati wa kushinda.
➡Anayekimbia tatizo lako leo,kesho likimpata lake atakuja kwako umpe experience!

MUNGU YUPO,ANAYEGEUZA HUZUNI KUWA FURAHA,SHIDA KUWA RAHA.

MHUBIRI 3:11
Kila kitu amekifanya kizuri kwa wakati wake; tena ameiweka hiyo milele ndani ya mioyo yao; ila kwa jinsi mwanadamu asivyoweza kuivumbua kazi ya Mungu anayoifanya, tangu mwanzo hata mwisho.


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment