Mbinu Tatu Unazotakiwa Kutumia Ili Kuwasilisha Hoja Zako Kwa Ushawishi

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph

https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa

i. Fungua Mazungumzo Yako Kuamsha Hisia/Akili Za Wanaokusikiliza
ii. Jenga Kuaminika (Build your Credibility)
iii. Onyesha Hisia / Onyesha Inagusa Sana (Display Passion and Emotion)

Katika Makala Hii Tutazungumzia Mbinu Ya Tatu

– Onyesha Hisia / Onyesha Inagusa Sana (Display Passion and Emotion)

Siku zote kumbuka kuwa, watu hawawezi kuguswa na kile ambacho wewe hakijakugusa.

Unapoongea ni muhimu sana kuonyesha hisia zako na namna unavyoguswa na jambo hili.

Watu hawapendi kukuona unaongelea tu jambo lao bali wanataka waone wewe linakugusa pia.

Mfano, unapoelezea shida ya maji hata kama unapoishi sasa kuna maji unaweza kuelezea shida wanayoipata kijijini kwenu au shida ambayo wewe binafsi uliwahi kuipata.

Ukiwa na hoja nzuri ila isiyoambatana na hisia zako, itapunguza ushawishi wako.

All Rights Reserved © The Cantona Group PLC||2025


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment