Majira ya Mungu yakifika hakuna kinachoweza kumzuia maana yeye hafungwi na muda
Ninakutia moyo usiangalie muda uliokaa kwenye hilo jaribu ,wala usitazame ukubwa DA hilo jaribu
Majira ya Mungu yakifika muda hauwezi kumzuia Mungu na nimekuombea Mungu akakuvushe hapo,Mungu akakukumbuke na wewe katika jina la Yesu msimu wako.
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.