Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph
https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa

Mwezi huu wa tisa tutakuwa na Maombi maalumu sana kwa ajili ya kuombea majaribu yanayoinuka mahali pako pa kupatia Riziki
Mahali tunapopatia riziki pana mambo mengi sana,figisu, fitina, kusingiziana, kulogana na mambo mengine kama hayo
Kwa sababu ya hayo waliowengi wamejikuta mahali pagumu sana na kwenye majaribu mazito sana,
tuombe Mungu akufanyie Mlango wa kutokea mahali pako pa kupatia riziki
Neno letu tunalosimama nalo mwezi huu,
Isaya 66:9
Je! Mimi nilete wana karibu na kuzaliwa, nisizalishe? Asema BWANA; mimi nizalishaye, je! Nilifunge tumbo? Asema Mungu wako.
Kumbuka Mwezi wa Tisa ni Mwezi wa kinabii wa kuzaa vitu, ni Mwezi wa kuzaa jambo jipya ni September to remember
Ni mwezi ambao lazima uombe sana Mungu akufanyie muujiza ambao hautausahau kwenye maisha yako
Tayari tumeashanza kupokea shuhuda za September to remember, kuna watu wamepata VISA waliomba kwa miaka mingi na wanakosa September to remember wamepata
Mwingine alikuwa anaomba mtoto kwa miaka mingi September to remember Bwana amelifungua tumbo ameconsive
Watu wa Mungu, Mungu ukimuomba kwa kumanisha anajibu. Ndio maana nakutia moyo tusimame pamoja kati maombi haya ya September to remember namwamini Bwana hata wewe atakujibu tu
All Rights Reserved © The Cantona Group PLC||2025
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.