wengi wanaumia kimiakimia

Kuna wakati unaweza kupita mahali pagumu na watu wako wa karibu wasijue maumivu uliyonayo

Kwasababu jaribu au msiba usikie tu kwa mwingine usiwe kwako maumivu yake ni makari sana

Najua unapita mahali lakini hakuna mtu anajua maumivu ukiyonayo Mungu akusaidie na nee ma yake ikufunike ili uweze kupita na kuvuka hapo

Marafiki wasipokuelewa Yesu atakuelewa,ndugu wasipokuelewa Yesu atakuelewa

Nimekuombea na ninajua Mungu atakusaidia na utavuka salama katika jina la Yesu.

kama unaamini comment, kama watu woote wasiponielewa najua Yesu wangu atanielewa na atanisaidia” kisha fanyika baraka kwa wengine


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment