Penda adui yako.

Nimeelewa kwanini Neno linasema wapendeni maadui waombeeni mema wanaowauza, nimejua nikwasababu hakuna mafanikio bila maadui. Maadui wanafanya uongeze kiu ya kutaka, maadui wanakufanya usirelax wakati huna kitu, maadui wanafungua akili yako, maadui wanakufanya ukimbie badala ya kutambaa, maadui wanakufanya uone yale yasiyoonwa na wengi, maadui wanasababisha ulipotakiwa ufike miaka 20 ufike kwa miaka 2. Maadui ni njia ya kufikia hatma yako hakuna Samweli bila Penina, tuwapende adui zetu.

Getinspired #Iposiku #CantonaJosephMotivates


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment