MWANAMKE JASIRI

Mwanamke,anafanya kazi kubwa sana kunifanya uwe na ufanisi hapa duniani…a man feel privileged to have a wife that runs the show from invisible corridors,anayeniombea,ananitia moyo ninapokuwa nimechoka,anaamini katika ninachofanya.

.

Mara baada ya kuoana nilikua pasipo chochote ,yeye alikuwa na vingi kuliko mimi ila hakuwahi kuonyesha kunitilia shaka.Mimi nilikuwa na MAONO MAKUBWA ila Kwa nje hakukuwa na DALILI ya DHAHIRI.Ametumia NGUVU YA MWANAMKE YA KUATAMIA (Incubation Power) kunisaidia kuvuka nyakati ngumu za MAISHA yangu.Hata wakati nimepoteza KILA KITU,hakuwahi kuona shaka juu ya YANGU YA KESHO ila Zawadi ya kipekee nilivyopewa na Mungu.

.

Nadhani,moja ya uwezo mkubwa anaotakiwa kuwa nao mwanamke ni kuwa na macho ya ziada kuona UKUU wa ndani wa Mwanaume hata kama kwa NJE HAKUNA kinachosapoti.

.

I salute you my lovely Mke wangu—Natambua mchango wako mkubwa kwenye Safari yangu kuelekea maono MUNGU aliyonipa kwa Taifa na baadaye Duniani.

.

Wewe ni Zawadi kubwa kwangu,I celebrate you and I love you forever.

.

We are going to The Top Together.Wewe ni zawadi Kwangu.

All Rights Reserved © The Cantona Group PLC||2025


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment