maisha yako yoote yamefunikwa na changamoto na matatizo

Kuna wakati unaweza kufikili na kuamini kuwa wewe uliumbiwa matatizo tu, maana maisha yako yoote yamefunikwa na changamoto na matatizo

Niko hapa kukwambia kila lenye mwanzo huwa lina mwisho wake pia, na nyakati ngumu hazitadumu kwenye maisha yako

Nimekuombea Nuru ikatokee kwenye maisha yako na waliokucheka na kukuona hufai acha wakaone Mungu akikuheshimisha

It is just a matter of time usilie tena, wala usikate tama tena asubuhi yako yaja

Kama unaamini comment ” it is just a matter of time nitavuka hapa maana ninamwamini Mungu ninaye mtumikia” kisha fanyika baraka kwa wengine kwa kushare ujumbe huu


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment