Kuna watu tunapita mahari pagumu kutokana na madhara ya kina Hamani

Na inawezekana uliomba Mungu akamuondoa Hamani kwenye maisha yako, lakini unashangaa mbona bado hali ni ileile?

Ni swali ambalo lilinitesa miaka kadhaa, maana niliomba Madui wakaondolewa lakini mazingira yakabaki vilevile

Najua hata wewe unajiuliza mbona watesi wameondolewa lakini mazingira yangu hayajabadirika?

Jibu ni kwamba uliomba ndiyo na hao watesi wameondoka lakini madhara yao yamebaki hayajaondolewa

Ninakuombea siku ya leo Bwana akuondolee madhara ya kina hamani yaliyokutesa na yanayokutesa kwa muda mrefu

Kama unaamini comment kwa imani “Bwana yatosha Ondoa madhara ya Hamani kwenye maisha yangu” kisha fanyika baraka na kwa wengine kwa kushare ujumbe huu na Mungu atakubariki sa


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment