Katikati ya magumu na mapito unayoyapitia

Katikati ya magumu na mapito unayoyapitia,katikati ya kuumizwa na kuvunjika moyo,

Mungu akuinulie Kalebu atakaye utuliza moyo wako katikati ya dhoruba kali na vilio.

Kalebu si tukwamba atautuliza moyo wako lakini pia atakutia moyo katikati ya pito lako ya kwamba unaweza na utavuka hapo

Hesabu 13:30 Kalebu akawatuliza watu mbele ya Musa, akasema, Na tupande mara, tukaitamalaki; maana twaweza kushinda bila shaka.

Nami nimekuombea acha ukakutanishwe na kalebu wako katika jina la Yesu. Kama unaamini comment “Bwana wanaonikatisha tamaa na kunivunja moyo ni wengi niinulie kalebu atakae nitia moyo” na itakuwa

Kisha fanyika kalebu kwenye maisha ya wengine kwa kushare na Mungu atakubariki


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment