Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph
https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa

i. Tabia zinazokimbiza watu muhimu
ii. Tabia zinazofanya watu wakupende zaidi
iii. Tabia zinazokukwamisha
Katika Makala Hii Tutazungumzia Tabia Ya Tatu
– Tabia zinazokukwamisha
Hapa kuna tabia binafsi ambazo wewe mwenyewe unazijua zimekuwa ni kikwazo binafsi kwako.
Inaweza kuwa ni uraibu fulani (addiction) ambao umekuwa unakusumbua sana (pombe, sigara, ngono, betting n.k).
Jaribu kujichunguza na uone namna unavyoweza kukabiliana na hali hizi.
Usiruhusu mwaka huu pia uishe ukiwa katika tabia hizi ambazo zinakukwamisha.
Kipi kimekimbiza watu kutoka kwako (Watu wengi wanalalamimikia nini, kipi ambacho kimekuwa chanzo cha kufeli kwako n.k).
All Rights Reserved © The Cantona Group PLC||2025
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.