Akikupenda Sana Usimuweke Mbali…

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph

https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa

Ndio, usimchukulie poa kwa sababu unaweza kumpoteza.

Kawaida ya wanadamu huwa tunawapa “attention” yetu zaidi wale ambao tunawapenda na kuwasahau wale ambao wanatupenda.

Watu wemepoteza watu muhimu na “genuine” kwenye maisha kwa sababu ya kutowapa thamani.

Ukiona anakupigia simu Mara kwa mara, haimaanishi hana kazi ya kufanya.

Ukiona anatumia muda na wewe haimaanishi hana wengine wa kutumia nao muda.

Ukiona anakupa kipaumbele haimaanishi amekosa kazi ya Kufanya, ni Kwa Sababu anakupenda.

Ubaya ni kuwa, muda utakaotaka kumrudisha, Kama moyo wake ulishaondoka basi haitawezekana tena.

Akikupenda, Usimuweke mbali!

All Rights Reserved © The Cantona Group PLC||2025


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment