Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph
https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa

i. Tumia “Contest Strategy”
ii. Toa Misaada (CSRCorporate Social Responsibility)
iii. Mitandao ya Kijamii (Social Media)
iv. Dhamini Matukio Mbalimbali (Sponsor Events).
v. Ushirikiano na wengine (Partnership)
vi. Tumia mbinu ya “Face Lift”
vii. Maadhimisho/Anniversary
viii. Tumia ufunguzi rasmi (Launch Party)
ix. Tumia Mabalozi (Brand Ambassador)
Katika Makala Hii Tutazungumzia Mbinu ya Nane
– Tumia ufunguzi rasmi (Launch Party)
Kwenye mbinu hii, unaamua kutumia siku maalumu kwa ajili ya uzinduzi wa ofisi yako au bidhaa/huduma.
Ili kuvutia watu wengi zaidi, unaweza kuamua kualika watu maarufu…
…ambao watakusaidia pia kuendelea kutangaza kuelekea siku ya tukio husika.
Waalike watu wenye ushawishi na waombe wenyewe pia…
…waseme kupitia mitandao yao ya kijamii kuwa watakuwepo.
Hii itasaidia kukutangaza kwa wafuasi wao.
Kutegemea na mahusiano ulilyonayo, kuna baadhi ya watu maarufu wengine ili waweze kuja itabidi uwalipe…
…kwenye kufanya hivyo inabidi uichukulie kama ni uwekezaji wako katika kuitangaza bidhaa/huduma yako.
All Rights Reserved © The Cantona Group PLC||2025
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.