Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph
https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa

i. Wazo
ii. Nguvu
iii. Bidhaa
iv. Uaminifu
v. Pesa
Katika Makala Hii Tutazungumzia Aina ya Tano ya Mtaji
– Pesa
Huu ni mtaji ambao ndio umezoeleka na watu wengi wanapotaka kuanza biashara.
Wengi wanaposema hawana mtaji, ukweli ni kuwa wanachomaanisha ni kuwa hawana pesa.
Wapo wengi walianza na mtaji pesa za kutosha kwenye biashara ila kila mmoja alizipata kwa njia tofauti tofauti kama ambavyo tutajifunza kwenye sura ya tatu.
Kumbuka kuwa, pamoja na aina nyingi za mitaji ambazo utahitaji, mtaji pesa ni muhimu sana kwa ajili ya kuendelea kufanya biashara yako.
Wengi walioanza mtaji pesa kwa njia rahisi ni wale waliopewa na watu wao wa karibu (wazazi, wenza n.k),
waliochukua mikopo kwa watu binafsi au taasisi au wale ambao walifanya kazi na kukusanya pesa za mtaji kuanza kitu walichotaka kukifanya.
All Rights Reserved © The Cantona Group PLC||2025
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.