Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph
https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa

i. Northcote Parkison
ii. George Clason
iii. Warren Buffett
iv. Aliko Dangote
Katika Makala Hii Tutazungumzia Sheria Kuu ya Pili ya Fedha
– George Clason
Mwandishi wa kitabu maarufu cha tajiri wa babeli alichoandika mwaka 1926.
Anasema chanzo cha kuongezeka kwa pesa yako ni pale ambapo kila pesa unayoipata…
…unakuwa na sehemu kiasi fulani ambacho unaikifadhi kwa ajili ya uzalishaji.
Huko mbeleni tutajifunza watu wanaofanikiwa wanavyotumia pesa zao.
Lakini itoshe kusema kuwa kwa kutumia kanuni hii…
…unatakiwa kwenye kila pesa ambayo unaipata utenge angalau kiasi fulani cha akiba/uwekezaji.
Ukiona kila pesa unayoipata yote unaimaliza kwa matumizi ya kawaida…
…basi ujue unavunja kanuni hii na utaingia katika changamoto ya kifedha.
Je, wewe kwa sasa huwa unatenga kiasi chochote katika fedha unayoipata ili kuwekeza?
All Rights Reserved © The Cantona Group PLC||2025
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.