Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph
https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa

i. Maisha yasiyokuwa na mwelekeo.
ii. Kujaribu kufanya kila kitu kwenye maisha yako na kuwepo kila mahali
iii. Jifunze kusema ukweli pale unapoumizwa au unapokuwa hujatendewa haki
iv. Kuishi kinyume na kile unachokiamini.
v. Kuwa na fikra hasi.
vi. Kuwa na mtazamo ambao hauwezi kubadilika.
vii. Kushindwa kukubaliana na mabadiliko ambayo hukuyatarajia (uncertainty).
Katika Makala Hii Tutazungumzia Tutazungumzia Chanzo Cha Sita
– Kuwa na mtazamo ambao hauwezi kubadilika.
Kuna watu wengi sana pia ambao wamejiingiza kwenye stress kwa kushindwa kuwa tayari kubadili mitizamo yao.
Kuna wakati kwenye maisha ni lazima uwe tayari kubadili msimamo wako kutokana na mtazamo mpya ambao unaupata.
Ukiwa mtu wa kusimamia misimamo yako bila kuruhusu mawazo mbadala, utajikuta ukiwa kwenye stress zisizoisha maishani mwako kila siku.
All Rights Reserved © The Cantona Group PLC||2025
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.