Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph
https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa

Shirika la Fedha Duniani (IMF) latabiri ukuaji mdogo wa uchumi wa Marekani kwa mwaka 2025, likisema kuongezeka kwa ushuru na kutokuwa na uhakika kutasababisha “kudorora kwa kiasi kikubwa”.
Katika mtazamo wake wa hivi punde wa kimataifa, IMF inatabiri uchumi wa dunia utakua kwa 2.8% mwaka huu, ukiwa umepungua ikilinganishwa na utabiri wa awali wa 3.3%.
Utabiri wa uchumi wa Marekani ni wa chini zaidi kati ya nchi zilizoendelea – ukuaji huko sasa unatarajiwa kuwa 1.8% mwaka huu, chini kutoka kwa makadirio yake ya awali ya 2.7%.
Na utabiri wa ukuaji wa Uingereza kwa mwaka 2025 pia umepungua – hadi 1.1% kutoka kwa utabiri wa awali wa 1.6%
All Rights Reserved © The Cantona Group PLC||2025
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.