Je kuna uhusiano upi wakati, Hezekia anaposema kutengeneza mambo ya nyumba yake na kuongezewa miaka ya kuishi.

Kuna uhusiano upi Kati ya kutengeneza Mambo ya nyumba yake na hicho anachoomba,Hezekia
Sikia nikuambie kwamba.
Hezekia alijua kuwa alipokuwa anamtumikia Mungu
Yupo shetani aliyekusanya mapungufu yake na makosa yake .
Sasa haikuwa shida kutengeneza Mambo ya nyumba yake, Bali shida ni Mungu amepokea mashtaka ya makosa ya Hezekia na amesahau utumishi wa Hezekia mbele zake
Sasa Hezekia anagundua hilo ndipo anaingia kudai haki yake kwa Mungu
Mungu anakuja kuangalia anakumbuka loo!!
Kamuhukukumu mtu asiye na makosa
Halafu angalia Mambo ambayo Mungu anayafanya
1:anamponya
2:anamuongezea miaka 15 ya kuishi
Somo hili halichoshagi kabisa
Kwa hiyo unaweza ukawa unamtumikia

Na bado ukawa unapitia mazingira ambayo yanakuyeyusha ile furaha ya wokovu,
Sasa hapa nataka ufahamu kwamba
Ipo haja ya KUMKUMBUSHA MUNGU kwa habari ya mambo yako unayohitaji
Isaya 43:25-26


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment