Utandawazi Ni kitu kizuri.

Utandawazi ni kitu kizuri sana kwa mtu yeyote kijana,mzee,binti,n.k kwasababu inaelimisha na kupanuka kwa maarifa Daniel 12:4
Lakini pamoja na faida hizo kwa wingi watu wamechanganya utandawazi na kanisa la Mungu
Sio hivyo tu injili kipindi hiki imekuwa ni ngumu sana watu wameiga vitu ambavyo sivyo biblia inasema nini katika kuiga Warumi 12:2,Efeso 4:23
Kwa vijanaa.Vijanaa tulitegemea makanisani wawe wengi kwa sababu ya wingi wao Lakin hamna kwa sababu ya utandawazi
Wanashinda wanachati tu ata kumtafakar Mungu hakupo ndani yao na wanaangalia picha zisizo za maana za uchi na mwishowe kuyaamsha mapenzi na kuzama katika maasi biblia inasema katika “wimbo uliobora 2:7” msiyaamxhe mapenzi
Shetani ameona hakna njia nyingene ya kutafta watu wa kumsindikiza jehanamu hivyo ameleta utandawazi ata kuwabadlisha watu waliondani ya yesu
Nahata hivyo watu waamua kuiamini sana biblia ya kwenye simu hawana mda tena wa kununua biblia na huwezi kumtumikia Mungu kwa mazoea hayo bana hujajua tuu.
Asante huu ni ujumbe mfupi ninayo mengi ya kusema nawe asubuhi hii juu ya utandawazi na Kanisa.


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment