Habari njema za Mungu zinapokelewa kwa shida sana.Unapo amua kushika njia sahihi shika kweli kweli usidhani watakuwa wengi wanaokuamini na kukufuata maana Mungu anapoanza kumfungua mtu anafunga njia zake zote alafu anamlazimisha apite kwenye njia yake wala usidhani utapita pale ulipo pazoea Mungu atakupitisha njia ambayo hujawahi fikiria lakini utatoboa tu usiogope,sio wote wataweza bali ni lile kundi dogo ambalo ndio taifa la Mungu ndio maana neno linasema msiogope enyi kundi dogo,furahi kwakua wewe ni mmoja wa kundi ambalo kila siku Mungu analiangalia na kulilinda hata kama unapita njia ya miiba mbele kuna unono na utukufu.
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.