Macron: Viongozi wa Afrika ‘walisahau kuishukuru Ufaransa’

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph

https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa

Macron
Maelezo ya picha,Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amesema kuwa mataifa ya Afrika “yalisahau” kuishukuru Ufaransa kwa kunusuru mataifa yao kuwa chini ya udhibiti wa wanamgambo.

“Nadhani walisahau kutushukuru, lakini ni sawa, itakuja kwa wakati,” Macron alisema.

“Hakuna hata mmoja wao angelikuwa na serikali huru kama Ufaransa halingepeleka jeshi lake katika eneo hili,” aliongeza kiongozi huyo wa Ufaransa.

Maoni yake yalitolewa wakati wa mkutano wa kila mwaka huko Paris kwa mabalozi wa Ufaransa na ulizingatia malengo ya sera ya kigeni ya Ufaransa kwa mwaka wa 2025.

All Rights Reserved © Cantona Group PLC||2025


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment