1-MAUMIVU.
2-KUTUKANWA
3-KUZARAULIWA
4- KUKATALIWA
5-KUTENGWA
6-MATESO.
7-KUPIGWA
..siri yakuinuliwa ktk maisha ni uvumilivu.
.na uvumilivu hauji bila maumivu.
Kunawakati utapitia ktk moto.
Kunawakati utapitia ktk zikinyingi.
Kunawakati utapitia ktk taabu.
Kunawakati utalalanjaa
kunawakati utakosa hata chakula.
Lakini BWANA hatokuacha ktk mapito yotehayo atakushika mkono
Amini kwamba unapokuwa mshindi lazima uwe na wapinzani.watakao kupinga tuu.
Watakuwa kinyume na wewe sikuzote hadi unaenda kaburini.
Kumbuka kwamba ukiamuwa kumpokea YESU KRISTO kuwa BWANA namwokozi wako.amini kwamba umetangaza vita kwajamii iliokuzunguka..
KWASABABU YAKUAMUWA KUWA NAYESU
A)-marafiki watakukimbia nakujitenga na wewe…mdam wanakuona kama umechanganyukiwa..
B )-jamii ilio kuzunguka itajitenga na wewe na kuelekeza silahazao kwako.
Nakukushambulia.
Kwa hiko amini amini nakwambia
SIRI YA USHINDI WAKO NI MAUMIVU
Ili uwe mshindi kubali kuhumia…lazima upitie kupigwa mawe,, kutukanywa..nakuteswa…
Baada yamateso ndipo ushindi upatikana..
Ukivumilia maumivunamateso ushindi wako utakuwa wamilele.
(Matendo12:1-11)
(Yohana18:1-8)(yohana19:1-7)
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.