Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph
https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa

Kuna MTU atalenga mara moja atapata. Mwingine atalenga mara ya kwanza atakosa lakini mara ya pili akapata.
Mwingine atalenga na kukosa hata mara 9 na kupatia ile ya 10.
kushangaza zaidi unaweza jikuta unaanza kunalenga shabaha na kukosa hata zaidi ya mara 10 lakini mwingine akaja baadaye akalenga mara ya kwanza ya pili akapata, kisha akakuacha ukiendelea KULENGA tu SHABAHA.
Kitu cha kujifunza ni kwamba kila MTU ana wakati wake wa KUINULIWA (Kupata SHABAHA). Kuchelewa kwako au kuwahi kwa wengine kusikufanye ukate tamaa. Hapana Mungu anakuona. Kila mlengo unaotupa na kukosa TARGET, ni hatua sahihi za maandalizi ya kukufanya uwe makini katika HATUA zingine mbeleni za kulenga SHABAHA kwa umakini wa hali ya juu.
All Rights Reserved © Cantona Group PLC||2024
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.