Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph
https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa

Mambo 3 Muhimu ya Kuzingatia Kuhusu Maono Yako.
i. Yapate Mapema Sana
ii. Yaandike Mahali
iii. Tafuta Walezi Mapema Wa Maono Yako
Katika Makala Hii Tutazungumzia Jambo la Kwanza Muhimu.
– Yapate Mapema Sana
Maisha yako kwenye awamu, kuna muda maalumu wa kuyatafuta maono yako, ukivuka muda wake inakupa wakati mgumu kuyatekeleza.
Kuna vitu unahitaji kuvibeba na kuvifanya ukiwa bado kijana mdogo ambavyo uzeeni hautaweza kuvifanya, usichelewe kuvigundua.
(Maombolezo) Lamentation 3:27 It is good for a man to bear he yoke while he is still young (Ni vyema kwa mtu kubeba nira/mzigo wake akiwa bado kijana).
Hii inamaanisha kuna vitu kama utapitisha umri wa ujana itakuwa ni ngumu kuvifanya kwa ufanisi na kwa mafanikio.
All Rights Reserved © Cantona Group PLC||2024
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.