Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph
https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa

Unataka KUONDOKANA Na MADENI Na Kuwa Na Amani?…
i. Kuzoea Madeni.
ii. Ulevi Wa Pombe.
iii. Ulevi Wa Kununua Vitu (Shopaholic)
iv. Chakula
v. Kushindwa Kusema Hapana
vi. Kuishi Juu Ya Kipato Chako
Katika Makala Hii Tutazungumzia Kifungo cha Nne
– Chakula
Kuna watu wengine tatizo kubwa walilonalo ni kupenda kula kusikokuwa na nidhamu.
Yaani akipata pesa, ataanza kuzunguka kila mgahawa na kila mahali akila vitu mbalimbali.
Watu wa namna hii kama wako kwenye familia, huwa wakiwa na pesa wananunua kila aina ya chakula na wanapika kwa wingi hadi vinabaki.
Akili ya kuweka bajeti huwa inarudi pesa zinapoanza kuisha.
All Rights Reserved © Cantona Group PLC||2024
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.