Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph
https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa

Kwa Wanaotaka Kuwa WAKUU Na WATAWALA…
i. Kusoma Vitabu
ii. Kuhudhuria Semina/Kozi Maalumu
iii. Kujifunza Kupitia Mtandao
iv. Kutembelea Kwa Mtu Aliyekutangulia
v. Chagua “Mentor” Wako
Katika Makala Hii Tutazungumzia Njia ya kwanza ya Kujiendeleza Kimaarifa
– Kusoma Vitabu
kwenye hili anza na kuchagua eneo unalotaka kukua.
Tafuta waandishi nguli katika eneo hilo.
Tafuta vitabu walivyoandika kwenye somo hilo.
Chagua vya kuanza navyo.
Njia nzuri ya kusoma vitabu ni kujiwekea lengo la kila mwezi utasoma vitabu vingapi.
Kisha jiwekee kila siku utasoma kurasa ngapi.
Au utatumia muda gani kusoma.
Hakikisha unakuwa na ratiba ya muda maalumu wa kujisomea ili kujiwekea nidhamu.
Pia usisahau kutumia “Passive Time” kama vile unaposubiria usafiri.
Unapokuwa safarini.
Unapokuwa unamsubiri mtu ofisini n.k.
Kama unataka Kuwa Mtu MKUU unayetawala…
All Rights Reserved © Cantona Group PLC||2024
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.