Shalom wapendwa sikuzote malipo na maumivu ndipo palipo na ushindi moyo bali nakuambia halihalisi maisha yalivyo unapopitia maumivu makali jua Mungu anakupeleka sehemu nzuri anakuvusha pabaya nikwambie tu usiache kulia kachini lia ili utoe uchungu moyoni ukimalliza mwambie MUNGU nimeshindwa simama wewe kama uliweza kunipa uhai utashindwaje kuniongoza hapa nilipo Mungu anasubiri ushindwe ili ajitukuze kupitia wewe kushindwa ili uwashuhudie wengine usifiche ushuhuda utakua unauficha ukuu wa MUNGU watu wasiujue basi unaweza kua na jaribu zito likakutoa machozi najengine likaja juu yake likakuliza pia hahah ujue milango inafunguka mwambie MUNGU asante kwamana naona ushindi ulee ,hapo ndipo pakukazana kuomba pia kunamaudhi mengimengi yatajitokeza chunga yasikuangushe hiyo ni mbinu ya shetani uwanguke hasira weka nnje ya ngozi isikae moyoni ili alikoshinde sisi kushinda lazima tutalia na kuona kama Mungu hatupendi.ila.anatupenda na yupo nasisi kwanza nimshukuru MUNGU waarabu kuaona kua Mungu ananipenda na amenipa akili.na kipawa baada ya kuona nimeshindwa wameamua kujiropokea mshukuru Mungu anakupenda sana na amekupa kipawa na anakutumia ndio maana umepata hiyo kazi hayo nimaneno ya adui sitaogopa nasema mimi ni udongo ikifikia kanitaka mwanae basi nilazima niende ila pambana usiogope omba vunja haribu hadi wamjue Mungu wako waulize walokole wanaishi oman wanapitia magumu mno kwamana kila kona vita wengine wiki tu wanarudi mimi.ni nani.hadi niwepo hadi sasa ni YESU ananipenda sana tu nawala sina woga nijasiri kama simba mwitu
MUNGU akupe kumfahamu yeye ninani na anamlaka gani
napia akupe kuyaona ya rohoni usidharau ndoto na maono hapo ndio panaushindi wa kuvuka kwa kishindo ukiona ombea unamshinda adui
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.