Fanya maamuzi muhimu.

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph

https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa

Kuwa makini sana na “Wapoteza Mwelekeo”…

Usipowadhibiti unaweza kujikuta unaharibikiwa.

Kuna watu ambao ukiwaruhusu tu kwenye maisha yako…

…utaanza kuona unaharibikiwa kwenye mambo mbalimbali.

Inaweza kuanza taratibu ila baada ya muda hali itakuwa mbaya sana.

Jaribu kukagua mahusiano yako…

…tangu umeanza kuambatana na huyo mtu/watu umesonga mbele au umezidi kurudi nyuma.

Watu wengi nilioongea nao baada ya kujikuta kwenye matatizo huwa wanasema…

…kuna mtu/watu ndio walichangia kwa kiasi kikubwa wao kuingia kwenye matatizo hayo.

Kuna watu inabidi uchague, aidha UPOTEZE HATIMA YAKO Ila UBAKIZE MTU FULANI…

Au ukubali KUPOTEZA MTU/WATU ila UOKEO HATIMA yako ambayo inakaribia KUHARIBIKA.

Fanya Uamuzi Leo.

Kama umeipenda makala hii…

All Rights Reserved © Cantona Group PLC||2024


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment