Jifunze kuijua neema ya Mungu.

Jifunze kuijua Neema ya Mungu inapoanza kukusogelea kwenye maisha yako utaanza kuona yale yaliyokushinda yanaanza kuwa mepesi kamwe usijisifu na kujiona umetenda kwa akili zako bali utambue huo ni wakati wa Mungu kwako utumie vizuri kwa kumshukuru Mungu ndipo utaona anatenda zaidi na zaidi,usiache kumshukuru Mungu japo kwa Kusema asante naye atafanya zaidi maana yeye hupendezwa na moyo wa shukrani.
Pokea mengi kutoka kwenye website yangu http://CantonaJoseph.wordpress.com
#CantonaJosephMotivates. #Iposiku #Getlnspired #Itissettled


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment