Unaweza ukawa na kitu na usijue thamani yake akatokea mtu mwingine nyuma yako akakipata ulicho nacho akakichukulia kwa uthamani akafanikiwa sana.
Unaye Yesu lakini hujui thamani yake akatokea mtu akampokea Yesu nyuma yako akamthamini gafla akafanikiwa akakupita wewe ambaye labda ndiye uliye mshuhudia kwenda kanisani,au kaja hana muda kanisani akapokea muujiza wake kabla yako.Mungu anaangalia utayali wa Moyo mwanangu hata siku moja usijute na kunung’unika mbele za Mungu,wala usiende kwa Mungu kujaribu,muamini kwa moyo wako wote na usisikilize mwanadamu ndipo utauona ushindi.Hiyo ndio tabia ya Mungu
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.