Mungu atakupitisha kwenye njia ngumu na hatari wakati mwingine njia zenye majonzi na hofu njia ambazo mwanadamu wa kawaida hawezi jaribu kutamani kupita lakini mwisho wa hatari ni Amani isiyo na kifani,mwisho wa uwoga anakupa ujasiri utasahau majonzi atakupa furaha isiyo kuwa na kipimo hiyo ndiyo tabia ya Mungu.Pale ambapo watu wamefikia mwisho kufikiri ndipo Mungu huanzia hapo.Unae dhani kwamba umefikia ukomo Mungu ndio anataka kuanza hapo.Ni maombi yangu leo Mungu akakuinue na kukutoa hapo ulipo kwama na akuvushe kwa mkono wake wenye nguvu
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.