Fanya kitu unachokijua kwa ufasaha.

Maisha yetu haya tunayoishi kunavitu ambavyo vinakibali hata adui apinge vipi aliangukia nahivyo vinavita sana kunavitu unaweza sana nahata ufanye vibaya vinakua vizuri viheshimu sana maana hapo ndipo kwenye baraka zako kama kuna kitu unajiona hicho ndicho ukifanya unamudu basi kifanye kwa ufasaha ili kionekane kwa watu au jamii inayokuzunguka utayafanya yaliofichika yajitokeze kupitia kile kizuri unachokifanya

hata mimi ninajua wapi nimewakamata mabos zangu basi hapohapo naboresha kuonyesha yaliojificha kiheshimu kile kilicho ndani yako kupitia hicho ndio zilipo baraka zako


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment