PITIA HII ILI UPONE
❎Sio mwaka wa kulazimisha kupendwa
❎Sio mwaka wa kulilia mapenzi
❎Sio mwaka wa kumuabudu mtu
❎Sio mwaka wa kupotezeana muda
❎Sio mwaka wa kubembelezana
❎Sio mwaka wa kuvumilia ujinga
❎Sio mwaka wa kuvumilia maumivu
❎Sio mwaka wa kulilia ndoa
❎Sio mwaka wa kulilia Mali za mtu
BALI MWAKA 2020 NI MWAKA WA:-
✅Kufunga na kuomba
✅Kutafuta na kufanya kazi
✅Kutafuta pesa
Kujiwekeza
✅Kumuheshimu anayekuheshimu
✅Kumpenda anayekupenda
✅Kumpigia simu anayekupigia.
✅Kumjibu meseji anayekutumia
✅Kumthamin anayekuthamini
✅Kumuamini anayekuamini
✅Kumuelewa anayekuelewa
✅Kumvumilia anayekuvumilia
INATOSHA 2020
✴Kuburuzwa
✴Kudharauliwa.
✴Kusalitiwa
✴Kuliwa pesa zako.
✴kutumiwa kingono
✴kupotezewa.
✴Kushobokea watu ambao hawana time na wewe.
Matatizo yanayokupotezea mda.
❎Wanafiki
❎Haters
❎Mahusiano yakukupotezea muda zika kabisaa
❎Marafiki wanao kutafuta kwenye bata usiwaache zika nao.
❎Marafiki wasiokuwa na changamoto za maendeleo zika
❎Wanao kukatisha tamaa ikaaa KABISA 🤔🤔🤔🤔
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.