JICHO LA IMANI 👀 2020
-♨️♨️-
“Yesu Kristo ni yeye yule, jana na leo na hata milele.“
(Waebrania 13:8)
Kuna wakati tunapitia Mambo ambayo tunadhani Mungu ametuacha, tumekua wakiwa, wapweke na wenye kukata tamaa kana kwamba Mungu alietenda Mambo makubwa kipindi Cha akina Meshack basi Zama hizi hatendi !! 😭 La hasha, hebu tutafakari mfumo wa Maisha yetu tujipime kwenye mzani wa Mungu tuone wapi tumepungua ili tuweze kupata tulizo la Mioyo yetu litokalo kwa Mungu.
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.